TAFAKARI YA BABU

 

DARASANI MWALIMU  WA HESABU ALIULIZA SWALI.

MWALIMU; BABAKO AKIKOPA ELFU MOJA BENKI NA ARUDI AKOPE ELFU NYENGINE KWA JIRANI , JE BABAKO ATALIPA PESA NGAPI?

MWANAFUNZI MMOJA AKASIMAMA AKAJIBU HATALIPA KITU.

MWALIMU; WEWE NIMEULIZA BABAKO AKIKOPA ELFU MOJA BENKI NA NYENGINE KWA JIRANI ATALIPA PESA NGAPI?

MWANAFUNZI; NIMESEMA HATALIPA KITU

MWALIMU; KAA CHINI WEWE HUJUI HESABU.

MWANAFUNZI; HESABU NAJUWA LAKINI WEWE HUMJUI BABANGU.

MWALIMU ; KWANINI?

MWANAFUNZI; KWASABABU BABANGU AKIKOPA HALIPI.

HEBU TAFAKARI HAYO!!!!

Wenu Swaleh Runinga ya citizen.